Jaji Mst. Mihayo afungua mafunzo kwa Wasimamizi wa Uchaguzi Mkoani Iringa
21 Jun, 2023
09:00:00 - 15:00:00
Iringa
NEC
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Mst) Thomas Mihayo akifungua mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata yaliyofanyika mkoani Iringa ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mdogo wa Madiwani katika kata 14 za Tanzania Bara utakaofanyika Julai 13, 2023.
