Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Dira na Dhima.

Dira

Dira ya NDC-Tanzania ni kuwa Chuo kinachotoa mafunzo bora kwa Maafisa Wakuu wa Jeshi ndani ya nje ya nchi, vyombo vya Usalama na Watumishi wa Umma katika Nyanja ya Usalama na Stratejia.


Dhima

Dhima ya Chuo ni kutoa elimu na maarifa na kukuza utaalamu na weledi kwa Maafisa Wakuu  wa  Kijeshi na Maafisa Waandamizi wa kiraia katika uelewa wa masuala ya usalama na mikakati ili kuwaandaa kupatiwa majukumu mbalimbali ya kimkakati katika ngazi ya kitaifa na kimataifa.