Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Chuo cha Taifa cha Ulinzi - Tanzania

Kanusho

Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Chuo cha Taifa cha Ulinzi hakitakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye au kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo. Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa sklini. Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi, tafadhali wasiliana na nasi kupitia tovuti www.ndctz.go.tz