MAADHIMISHO YA MIAKA 10 ya CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA
MAADHIMISHO YA MIAKA 10 ya CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA
08 Sep, 2022
08:00:00 - 14:30:00
KUNDUCHI-DAR ES SALAAM
info@ndctz.go.tz
Mhe. Samia Suluhu Hassani – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, akitunukiwa tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi-Tanzania na Mkuu wa Chuo Meja Jenerali IM Mhona (kulia) wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka kumi ya Chuo tarehe 08/09/2022.