MAADHIMISHO YA MIAKA 10 ya CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA
MAADHIMISHO YA MIAKA 10 ya CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI TANZANIA
05 Sep, 2022 - 08 Sep, 2022
08:00:00 - 14:00:00
KINONDONI
info@ndctz.go.tz
Ujumbe wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi – Tanzania ukiongozwa na Katibu wa Chuo Kanali AS Kagombola wa pili kutoka kushoto, ukimsikiliza mwakilishi wa kituo cha kulea watoto yatima kilichopo Mtaa wa Basihaya katika Wilaya ya Kinondoni walipotembelea kituo hicho katika kuelekea kusheherekea miaka 10 ya Chuo yaliyofanyika tarehe 08/09/2022.