Idara
i. Idara ya Maendeleo ya Michezo
- Kuratibu shughuli zote za michezo nchini kwa kushirikiana na mashirikisho/vyama vya michezo vya kitaifa na asasi mali mbali za michezo
- Kusimamia maendeleo ya michezo nchini
- Kuhimiza ushirikiano na mahusiano bora baina ya mashirikisho/vyama vya michezo nchini
ii. Idara ya Utawala na Rasilimali watu.
- Kuandaa mipango ya Utumishi na Maendeleo ya Wafanyakazi wa Baraza na
- Kushughulikia masuala ya Uhusiano kati ya BMT na taasisi nyingine na Wafanyakazi.
iii. Idara ya Fedha na Mipango.
- Kumshauri Katibu Mtendaji kuhusu masuala ya fedha, ununuzi na mipango
- Kusimamia uandaaji wa taarifa za robo, nusu na za mwaka na kuziwasilisha sehemu husika

