Zoezi la ufungaji wa pampu mpya eneo la kisima cha Kulungu wilayani Mkuranga
05 Sep, 2023
zoezi la ufungaji wa pampu mpya eneo la kisima cha Kulungu wilayani Mkuranga likiendelea, ukamilishwaji wa kazi hiyo utaongeza uzalishaji wa maji katika kisima cha Kulungu kutoka lita 50,000 kwa saa hadi lita 215,000.
Zoezi hili limeathiri upatikanaji wa huduma ya Maji kwa Wananchi wa Mji wa Mkuranga.
Zoezi litakamilika Agosti 25 2023 na huduma ya maji kurejea.