Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO YA MIUNDOMBINU GOBA
24 Apr, 2024
MABORESHO YA MIUNDOMBINU GOBA

Udhibiti upotevu wa maji katika bomba la usambazaji maji la inchi 8 eneo la Nash park njia panda ya Matosa katika kata ya Goba inaendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).

Kukamilika kwa kazi hii kutarejesha huduma kwa wakazi takribani 1,200 katika maeneo ya; Kavishe, Uzaramuni, Kikwasa, Barabara ya Kasongwa, Matosa Center na Matosa Darajani.