Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
ZOEZI LA UFUNGAJI PAMPU MKURANGA
04 Sep, 2023
ZOEZI LA UFUNGAJI PAMPU MKURANGA

Zoezi la ufungaji wa pampu mpya eneo la kisima cha Kulungu wilayani Mkuranga likiendelea, ukamilishwaji wa kazi hiyo utaongeza uzalishaji wa maji katika kisima cha Kulungu kutoka lita 50,000 kwa saa hadi lita 215,00 Zoezi litakamilika Agosti 25 2023 na huduma ya maji kurejea.