Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
ZIARA YA WAZIRI WA MAJI KATIKA JIMBO LA MBAGALA
15 Sep, 2023
ZIARA YA WAZIRI WA MAJI KATIKA JIMBO LA MBAGALA

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akipokea taarifa ya upatikanaji wa huduma ya maji katika eneo la Mbagala wakati wa ziara yake ya siku moja ya kutembelea wananchi wa Jimbo la Mbagala wilayani Temeke kutoka kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Mhandisi Ramadhani Mtindasi. Katika ziara hiyo Waziri Aweso amesisitiza viongozi kuendelea kusikiliza changamoto za wananchi na kuzitatua kwa haraka bila kusubiri kukumbushwa na viongozi.