Ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) katika Mtambo wa uzalishaji maji Wami
06 Sep, 2023
Naibu Waziri wa Maji Mhe.Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) wa pili kulia akipokea maelezo ya upanuzi wa Mtambo wa uzalishaji maji Wami kutoka kwa Meneja wa mtambo wa uzalishaji maji Wami DAWASA Mhandisi Emaculata Msilama alipotembelea na kukagua utekelezaji wa Mradi wa Chalinze awamu ya tatu.