"Wito wangu kwa wananchi ambao wameshalipia maunganisho ya maji wawe na subira
05 Sep, 2023
"Wito wangu kwa wananchi ambao wameshalipia maunganisho ya maji wawe na subira kwa kuwa kazi za kiufundi zinakwenda kwa utaratibu, tayari vifaa vya maunganisho mapya vimeshanunuliwa na wateja mtaanza kuunganishiwa hivi karibuni," Mhandisi Maryprisca Mahundi Naibu Waziri wa Maji.