UDHIBITI UPOTEVU WA MAJI - TEMEKE
23 Feb, 2024
Kazi ya matengenezo kwenye valvu inchi 6 ikiendelea kwa lengo la kudhibiti upotevu wa maji eneo la Rangi Tatu kata ya Mbagala, jirani na Kanisa Katoliki.
Kukamilika kwa matengenezo hayo kutaimarisha usambazaji wa huduma ya maji kwa wakazi takribani 350 wa eneo tajwa pamoja na kuboresha huduma katika Kanisa hilo.