UDHIBITI UPOTEVU WA MAJI - TEGETA
13 Feb, 2024
Anderson Piason, mtumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) akidhibiti upotevu wa maji eneo la Kota za wasomali katika kata ya Kunduchi wilayani Kinondoni.
Udhibiti upotevu wa maji ni kipaumbele cha Mamlaka ili kuhakikisha huduma inawafikia Wananchi wote.