Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UBUNGO NHC WAHAKIKISHIWA HUDUMA ENDELEVU
16 Apr, 2024
UBUNGO NHC WAHAKIKISHIWA HUDUMA ENDELEVU

Kazi ya kutoa toleo la inchi 6 kwenye bomba la usambazaji maji la inchi 16 katika eneo la Ubungo plaza inaendelea kutelekelezwa na Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kuongeza na kuboresha msukumo wa maji katika maeneo ya Ubungo NHC, Mtaa wa Kagame, Perfect vision, Sinza na Royal Njombe.