Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU MAVURUNZA, MAVURUNZA NA CHANGANYIKENI
10 Feb, 2024
UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU MAVURUNZA, MAVURUNZA NA CHANGANYIKENI

Kazi ya kudhibiti upotevu wa maji katika bomba la usambazaji maji eneo la Pori la Jeshi Kimara Mavurunza inaendelea kutekelezwa kwa lengo kubadilisha sehemu ya bomba iliyoathirika na kuweka bomba jipya

Kukamilika kwa kazi kutarejesha huduma kwa wakazi wa maeneo ya;
Changanyikeni, Mbuyuni, DTV, Chuo cha Ardhi, Mbuyuni, Midizini, Njia Panda Jeshini, Mashine, Areae four, Jeshini area A, Songasi, KKKY Makongo, Kanisa la Sabatho, Makongo Shule ya Msingi, Makongo Zahanati, Makongo Njia Panda DTV