Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA USAFI WA MAZINGIRA - KINONDONI
13 Feb, 2024
UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA USAFI WA MAZINGIRA - KINONDONI

Zoezi la kusafisha mtandao wa majitaka eneo la Sombetini Mikocheni ikiendelea chini ya mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA).

Usafishaji wa mitandao ya majitaka huongeza ufanisi katika utendaji kazi wake na kuepusha uchafuzi wa Mazingira unaosababishwa na uzibaji wa mara kwa mara