Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI KINONDONI
19 Mar, 2024
UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI KINONDONI

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Mkoa wa kihuduma Mivumoni wakiendelea na kazi ya uchimbaji na ulazaji wa bomba yenye ukubwa wa inchi 12 kwa umbali wa Kilomita 2.

Kukamilika kwa kazi hii kutaboresha huduma ya maji kwa kuongeza msukumo kwa wakazi wa maeneo ya Usukumani, Goba Maghorofani, Tatedo, pamoja na Kinzudi kwa kuwapatia huduma bora ya maji na yakutosheleza.