TUNAZINGATIA UBORA WA MAJI
15 Sep, 2023
Timu ya wataalamu wa ubora wa maji kutoka DAWASA wakipima na kuhakiki ubora wa maji kutoka katika visima vinavyohudumiwa na Mamlaka katika eneo la Kitunda katika Wilaya ya Ilala.
Lengo ni kuhakikisha huduma ya maji inayosambazwa kupitia visima hivyo inakidhi ubora unaotakiwa.