TEKNOLOJIA UKAGUZI MIUNDOMBINU YA USAFI WA MAZINGIRA
29 Sep, 2023
Wataalamu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) wakiendelea na zoezi la kukagua mtandao wa Majitaka iliyounganishwa sehemu mbalimbali za Jiji kwa kutumia kamera maalumu (Inspection Sewer Cameras) kwaajili ya kuangalia maendeleo ya mifumo ya Majitaka, kuiboresha na kuiongezea ufanisi.