Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
SULUHU YA MAJI MBAGALA, JESHI LA WOKOVU
06 Sep, 2023
SULUHU YA MAJI MBAGALA, JESHI LA WOKOVU

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na watumishi kutoka Bonde la Wami Ruvu wakiendelea na kazi ya utafiti (survey) wa eneo kwa ajili ya uchimbaji kisima katika eneo la Jeshi la Wokovu.

Kisima hicho kinatarajia kuondoa adha ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi takribani 850 wa maeneo ya Mbagala Kuu na Jeshi la Wokovu.

Aidha uwepo wa kisima hicho kitapunguza upatikanaji wa maji kwa mgao kwa wakazi wa Kichemchem na Kibondemaji yanayohudumiwa kupitia mtambo wa uzalishaji maji Mtoni.