PRE PAID METER CHALINZE
29 Sep, 2023
Majaribio ya ufungaji wa Dira za Malipo ya Kabla (Pre-paid meters) kwenye vioski vya Maji Chalinze ukiendelea. Ufungaji wa dira za malipo ya kabla hulenga kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato na kuwa na mfumo shirikishi katika uendeshaji baina ya DAWASA na Wateja.