Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MWANALUGALI - KIBAHA WATULIWA NDOO YA MAJI KICHWANI - PWANI
19 Mar, 2024
MWANALUGALI - KIBAHA WATULIWA NDOO YA MAJI KICHWANI - PWANI

Wakazi wa Mwanalugali, Oysterbay ba Msikitini katika kata ya Tumbi-Kibaha, mkoa wa Pwani Pwameanza kunufaika na huduma ya maji baada kukamilika kwa kazi ya kutoa toleo la inchi 4 katika bomba la inchi 48 katika eneo la Shirika la elimu Kibaha lililolenga kuboresha upatikanaji wa huduma katika maeneo hayo.

Jumla ya wakazi takribani 500 wamenufaika na uboreshaji wa huduma hiyo.