Mwenge wa Uhuru Kitaifa wapitisha kwa Kishindo.
11 May, 2023
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndugu Abdalla Shaib Kaim ameridhishwa na Mradi wa Maji Mshikamano wenye thamani ya Bilioni 4.5 unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) baada ya kukagua mradi huo leo Mei 27,2023 uliopo Kata ya Mshikamano Wilaya ya Ubungo.