Mafunzo ya Bodi na Menejimenti
29 Sep, 2023
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) ni miongoni mwa Mamlaka za Maji Nchini zilizopanda daraja A kwenda AA kutoka A na kutunikiwa cheti kutoka kwa Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Awesso (Mb) katika mafunzo ya Bodi na Menejimenti.