MAFUNZO
29 Sep, 2023
Wadau mbalimbali wa sekta ya maji wakiwemo Wajumbe wa Bodi na Menejimenti za Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Maji wametembelea banda la Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika Mafunzo ya siku mbili yanayoendelea Jijini Dar es salaam kuanzia Tarehe 25 hadi 26, Septemba 2023.