Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO YA MIUNDOMBINU MBEZI LUIS UBUNGO
09 Feb, 2024
MABORESHO YA MIUNDOMBINU MBEZI LUIS UBUNGO

MABORESHO YA MIUNDOMBINU MBEZI LUIS

Kazi ya kuchomelea bomba katika bomba la kusambaza maji  la inchi 3 katika eneo la Mbezi Luis, inatekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA). 

Kazi hiyo inatekelezwa ili kudhibiti bomba hilo lisiathiriwe na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam. 

Kazi hii ni suluhu ya kudumu dhidi ya uharibifu wa miundombinu ya maji unaosababishwa na mvua na itasaidia kuimarisha huduma ya majisafi kwa wakazi wa maeneo ya  Mageti na kwa Bwege.