MABORESHO YA MIUNDOMBINU MAJISAFI TEGETA
24 Apr, 2024
Kazi ya kufunga Valve ya inchi 8 ikitekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Mkoa wa kihuduma Tegeta Ili kuboresha huduma na kuongeza msukumo wa maji.
Kukamilika kwa kazi hii, kutanufaisha wakazi zaidi ya 200 wa maeneo ya Moga na Bunju beach watakaopata huduma ya Majisafi ya kutosheleza wakati wote.