Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO YA HUDUMA YA MAJI TCC SIGARA
24 Apr, 2024
MABORESHO YA HUDUMA YA MAJI TCC SIGARA

Kazi ya maboresho ya miundombinu ya maji katika eneo la TCC Sigara Wilaya  ya Temeke kwa kubadilisha miundombinu chakavu imetekelezwa na mafundi kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa lengo la kuongeza msukumo wa maji.

Kazi hiyo imehusisha ubadilishaji wa miundombinu chakavu katika laini ya inchi 6  ili kuboresha huduma ya Maji katika kiwanda hicho.