Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO YA HUDUMA YA MAJI - CHALINZE
13 Feb, 2024
MABORESHO YA HUDUMA YA MAJI - CHALINZE

Matengenezo ya bomba la inchi 12 eneo la Msolwa yakiendelea kutekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) mkoa wa kihuduma DAWASA Chalinze.
Kukamilika kwa kazi hii kutaboresha na kuimarisha huduma ya maji katika maeneo ya Msolwa,Mdaula,Matuli,Ubenazomozi, kambi za jeshi Kizuka na Kidugalo, Mwidu na Bwawani.