Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO YA HUDUMA ILALA NA KARIAKOO
08 Jan, 2024
MABORESHO YA HUDUMA ILALA NA KARIAKOO

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Kiula Kingu pamoja na timu ya usambazaji maji wamepita mtaa kwa mtaa kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo ya Ilala na Kariakoo. Huduma inazidi kutengemaa katika maeneo ya katikati ya Jiji, Ilala hadi Kariakoo