Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MABORESHO MIUNDOMBINU YA MAJI MIHANDE INAENDELEA
19 Jan, 2024
MABORESHO MIUNDOMBINU YA MAJI MIHANDE INAENDELEA

Matengenezo ya bomba la inchi 4 kwa lengo la kudhibiti uvujaji wa maji katika mtaa wa  Kibwende kata ya Mihande, Mji wa Mlandizi kwa lengo la kuboresha upatikanaji wa huduma kwa wakazi wa maeneo haya. 

Kazi hii inayotekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA Mlandizi yatasaidia kuimarisha huduma kwa wateja zaidi ya 600 wa maeneo ya  Kibwende, Vikuruti, Mihande,Kitemvu na Acacia secondary.