Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE 2024 - KIGAMBONI
19 Mar, 2024
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE 2024 - KIGAMBONI

Watumishi wanawake wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wakishiriki maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo hufanyika tarehe 8 Machi kila mwaka.
Maadhimisho katika Mkoa wa Dar es salaam yamefanyika viwanja vya Mji mwema katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ikibebwa na kauli mbiu Wekeza kwa wanawake kuharakisha maendeleo ya Taifa na ustawi wa jamii.