Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Zoezi la kutoa vibali vya uendeshaji huduma ya magari ya Majitaka kwa watoa huduma binafsi ikiendelea kutolewa katika bwawa la kuchakata majitaka Vingunguti.
11 May, 2023

Hadi sasa watoa huduma binafsi takribani 50 wameshapata usajili na zoezi linaendelea hadi Juni 22,2023.