KURASA 365 ZA MAMA
19 Mar, 2024
KAIMU Ofisa Mtendaji Mkuu, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Kiula Kingu akiwa na sehemu ya Menejimenti ya @dawasatz wakiwa Mlimani City tayari kuzihesabu #Kurasa365zaMama kupitia Sekta ya Maji.