Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
KUKAMILIKA KWA MATENGENEZO NA KUREJEA KWA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA TEGETA HADI KAWE
28 Feb, 2024
KUKAMILIKA KWA MATENGENEZO NA KUREJEA KWA HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA TEGETA HADI KAWE

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Ndugu Kiula Kingu akikagua matengenezo ya bomba kubwa la inchi 21 eneo la Tegeta kwa Ndevu Darajani ambayo yalipelekea wakazi wa maeneo hayo kukosa huduma kwa saa 4 siku ya Ijumaa, Februari 23, 2024.

Kazi hiyo imekamilika huduma imerejea na kuendelea kuimarika kwa wakazi wa maeneo ya Tegeta Msichoke, Kunduchi Jeshini, Mtongani, Madini, Kilongawima, Mbezi Beach hadi Makonde