Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
KIJIJI CHA FURAHA WAKUMBUKWA NA DAWASA - KINONDONI 
16 Feb, 2024
KIJIJI CHA FURAHA WAKUMBUKWA NA DAWASA - KINONDONI 

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi mahitaji ya kibinadamu kwa kituo cha kulea watoto yatima cha KIJIJI CHA FURAHA kilichopo eneo la Mbweni Mwisho, Kata ya Mbweni Wilaya ya Kinondoni. 

Mahitaji hayo yaliyotolewa ni sehemu ya jitihada za Mamlaka katika kutambua na kujali uwepo na umuhimu wa makundi haya maalum kwenye jamii. 

DAWASA imekuwa ikichangia jamii zenye uhitaji kwa kutambua umuhimu wa huduma yake katika maisha ya binadamu.