Kazi ya kusafisha miundombinu ya majitaka katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Sea view/Barack Obama Road
15 Sep, 2023
Kazi ya kusafisha miundombinu ya majitaka katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Sea view/Barack Obama Road pamoja na Ufukweni road inatekelezwa kwa lengo la kuongeza ufanisi wa miundombinu hiyo.
DAWASA inaikumbusha Jamii juu ya utunzaji wa miundombinu ya majitaka kwa kuepuka kutupa taka ngumu katika miundombinu ambayo husababisha kuziba mara kwa mara na kupelekea uchafuzi wa Mazingira.
#Usafi wa Mazingira ni Utu