DAWASA YAUNGANA NA CLOUDS MEDIA SAFARI YA MWISHO YA GADNER
24 Apr, 2024
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Kiula Kingu ameungana na familia na Watanzania katika kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mtangazaji mahiri wa Clouds Media, Marehemu Gadner Habash. Apumzike kwa amani.