Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA NA SIKU 365 ZA MAMA SAMIA MKUTANO
19 Mar, 2024
DAWASA NA SIKU 365 ZA MAMA SAMIA MKUTANO

Sehemu ya Menejiment ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) ikishiriki katika kipindi maalum cha kurasa 365 za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelezea mafanikio katika sekta ya Maji Nchini.
Tukio linafanyika katika ukumbi wa mikutano Mlimani City Jijini Dar es salaam.