Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
DAWASA NA MIAKA 10 YA E-FM
22 Apr, 2024
DAWASA NA MIAKA 10 YA E-FM

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA , Ndugu Kiula Kingu ametembelea kituo cha habari cha EFM na TVE na kukutana na uongozi wa kituo hicho katika kuadhimisha miaka 10 ya uwepo wa E-FM ambapo alipata nafasi ya kuelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa mradi ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar na Pwani. Katika ziara hiyo aliambatana na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Everlasting Lyaro.