Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
SOMELO KUPATA MAJI YA DAWASA JULAI 15, 2023
02 Jan, 2022
SOMELO KUPATA MAJI YA DAWASA JULAI 15, 2023

SOMELO KUPATA MAJI YA DAWASA JULAI 15, 2023

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Ndugu Kiula Kingu akizungumza na kamati ya Siasa ya Kata ya Zingiziwa, Wilaya ya Ilala juu ya kazi inayoendelea kutekelezwa na DAWASA ya ukamilishwaji wa mradi wa kusambaza maji kwa wakazi wa maeneo ya pembezoni mwa mji, ambapo amesema kuwa tenki la lita milioni 2 limekamilika na kazi na linafanyiwa majaribio. 

Amesema kuwa ifikapo Julai 15, 2023 huduma ya maji itaanza kupatikana kupitia mradi huo uliojengwa katika mtaa wa Somelo, kata ya Zingiziwa. 

Amesema kazi ya usambazaji mabomba kwa maeneo mengine ya kata hiyo ambayo hayakufikiwa na mradi itatekelezwa na Mamlaka kupitia fedha za ndani.