ZIARA YA MAFUNZO
02 Sep, 2021
Wanafunzi kutoka Chuo Cha uhandisi cha Mtakatifu Joseph Jijini Dar es salaam wakipata maelezo ya mfumo wa uchakataji majitaka kutoka kwa Mhandisi Nemes Lelo katika ziara ya mafunzo mapema wiki hii.
Lengo la ziara ni kupata elimu ya ukusanyaji, uchakataji wa mabwawa ya majitaka yanayosimamiwa na DAWASA.