Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Nini Tofauti kati ya DAWASA na DAWASCO?

DAWASA ni Mamlaka ya Maji yenye jukumu la kutoa Huduma ya Majisafi na uwondoshaji wa Majitaka ndani ya Jiji la Dar es Salaam pembezoni mwa Pwani. Dawasco ni shirika la usambazaji na usimamizi wa huduma ya Majisafi na uondoshaji wa Majitaka.