Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Je unataka kujua bei za huduma ya majisafi kwa wateja wa dawasa isipokua wateja wa chalinze kwa watumiaji wa majumbani na watumiaji wengine?

Bei za huduma ya majisafi kwa wateja wa dawasa isipokua wateja  wa chalinze kwa watumiaji wa majumbani na watumiaji wengine ni kiasi cha Tshs 1,663 kwa ujazo wa mita