Je unahitaji kubadilisha umiliki kwenye A/C yako ya DAWASA?
Unahitaji kuja viambatanisho vifuatavyo:
- Barua ya kuomba kubadilisha umiliki
- Passport size 2
- Hati au mkataba wa upangishaji wa nyumba
- Barua kutoka serikali za mitaa