Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Je unajua njia za kulipia ankara ya maji?

Wateja watatumiwa ankara kila mwezi na wanaweza kufanya malipo kwa njia ya benki kwa benki washiriki wa NMB,NBC, AZANIA Bank, CRDB Bank, Stanbic Bank na ABSA, Wateja wanaweza kutumia simu za kiganjani kufanya malipo kwa mitandao ya M-pesa, Tigo-pesa, Airtel Money, TTCL- Pesa na Halo-Pesa.
Mamlaka haitahusika na mapatano au malipo yoyote yatakayofanywa nje ya utaratibu wa malipo.