Mradi wa kusambaza maji wa Makongo hadi Bagamoyo
16 Mar, 2023
11:00AM - 2:30PM
Tegeta A
info@dawasa.go.tz
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akishuhudia maji yakitoka kwa mara ya kwanza kwenye eneo la Tegeta A ikiwa ni matokeo ya kukamilika kwa mradi wa kusambaza maji wa Makongo hadi Bagamoyo