Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
Kongamano la Kisayansi la maji
09 Mar, 2023 08:00AM - 04:00PM
Ubungo Plaza
info@dawasa.go.tz

Wananchi wameendelea kujitokeza katika Banda la Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika siku ya pili ya Kongamano la Kisayansi la maji linaloendelea wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam.

Mamlaka inawakaribisha wananchi kutembelea mabanda ya maonyesho ili kufahamu shughuli na kazi mbalimbali zinazofanywa katika kuwapatia wananchi huduma ya maji

Kongamano la Kisayansi la maji