Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Tanzania Investment Centre

TIC logo

News

12 Nov, 2021
President Samia witness the signing of one contract and seven agreements between Tanzania and Egypt
President Samia witness the signing of one contract and seven agreements between Tanzania and Egypt

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia utiaji saini Hati za makubaliano  katika Nyanja ya kukuza Uwekezaji kati ya Tanzania na Misri iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini Dkt. Maduhu Kazi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya  Uwekezaji na Biashara Huria nchini Misri Dkt. Mohammed Abdul-Wahabi leo tarehe 11 Novemba 2021 Jijini Cairo Misri. Mhe Rais Samia yupo Nchini Misri akiendelea na ziara yake ya siku ya pili ya Kiserikali kufuatia mwaliko wa Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah Al Sisi

Feedbacks

Feedback, Complaint or Opinion:

TISEZA AI Assistant ×